Wakati Mmoja

Mtazamo kupitia mlango wa lifti.

Wakati Mmoja — a poem by Pemba Umoja

Alimkazia macho.

Naye akamkazia macho.

Yeye alikuwa ndani ya lifti.

Yeye alikuwa nje yake.

Ulikuwa ni wakati mmoja tu.

Wakati mmoja tu waweza kukubadili vipi?

Kubadili chochote,

kilichowahi kuwa muhimu?

Kukupoteza pumzi?

Kukuamsha upya kwa yote yaliyo hai?

Kufunua uwezekano?

Shauku ambayo hukuwahi kujua ipo?

Vipi mmweko mmoja,

Moja, Moja-mbili,

Kukunasia katika wakati wa zamani?

Lifti ambayo

kamwe hutatoka?

Shairi na Pemba Umoja