Polepole

Mwaliko wa kufuata mwendo wa pumzi.

Polepole — a poem by Pemba Umoja

Tuliza mawazo.

Tuliza mwili.

Vuta ndani nje ndani nje

Tazama

na tazama macho yako yakitazama.

Sikia

na sikia masikio yako yakisikia.

Onja

na onja ulimi wako ukionja.

Vuta ndani nje ndani nje

Polepole

Polepole

Polepole

Shairi na Pemba Umoja