Dunia Iliyochanganyikiwa
Pumzi moja katika mtaa uliojaa watu

Dunia imechanganyikiwa.
“Juzi tulienda kwenye sherehe ya nyumbani huko Lowell.”
“Meza ni chafu.”
“Kaa tu hivyo hivyo.”
Tabasamu la uongo. Tabasamu la uongo.
“Haya, unaendeleaje?”
“Haya, tangulia kabla ya umati.”
“Kuna meza iko wazi.”
“Wana foleni ya kusubiri.”
“Si neno!”
“Lo, asante. Asante.”
Pumzi moja, kisha kuishusha kwa muda mrefu.
Wapenzi wawili wanakumbatiana. Anambusu kwa upole kwenye nywele zake laini za kahawia.
Familia inatabasamu ikitembea taratibu kwenye mtaa uliojaa watu.
Taa ya mtaani inachora kivuli cha mchana juu ya matofali.
Shairi na Pemba Umoja