Kupukutika katika Bustani ya Komazawa

Meza iliyochakaa kati ya majani yaliyopukutika.

Kupukutika katika Bustani ya Komazawa — a poem by Pemba Umoja

Meza ya mraba ya mbao

Nyuzi ndefu

Imechakaa kwa matone ya mvua na upepo

Imezungukwa na majani yaliyopukutika

na ardhi ya kahawia.

Shairi na Pemba Umoja